NEW MUSIC/ NAVY KENZO - AIYOLA
Di
zaini Nah Reel alikuwa akimuimbisha
Aika na kumuuliza mbona unachelewa chelewa..Baada ya kuoana sasa (ki
mashairi) leo hii wametoka na wimbo wao unaozungumzia maisha baada ya
ndoa. ambapo wawili wanakuwa wanapeana moyo katika maisha yao na hivyo
wimbo huo kuitwa "Aiyola"
wasikilize hapo chini
No comments:
Post a Comment