Mwanamuziki kutoka nchini Tanzania mwana dada Dayan Nyange anazidi kuchana mbuga baada ya kampuni ya mdundo ya nchini kenya wanaomiliki website mdundo.com kuingia naye mkataba wa kuuza nyimbo zake. Kupitia A/C Instagram Mdundo waliposti na mwana dada huyo mkali wa sauti ku kupost katika A/C yake ya facebook. Saport mziki wa Tanzania sasa
Hii ni link ya Mdundo.com
@mdundomusic "Ladies and Gentlemen. @daynanyange has a brand new popping jam and you can download it here. Mdundo.com/song/15459 #Taking #EastAfrica #ByStorm #keepitmdundo" via @PhotoRepost_app
No comments:
Post a Comment