Thursday, October 23, 2014

AUDIO// JIANDAE - RUGA MKALI

 
Ni moja ya wimbo ambao ukiuskiliza hutatamani kuacha kuuskia, kutokana na mashairi ya wimbo wake na aina ya mziki alioutumi. Wimbo umefanyika katika studio za AM Records za jijini Dar Es salaam na mtayarishaji nguli wa muziki nchini Manecky sikiliza na download hapa - See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/10/brand-new-song-ruga-mkali-jiandae.html#sthash.haEffiXd.dpuf

No comments:

Post a Comment