Friday, June 20, 2014

BAADA YA TWITTER SASA NI FACEBOOK WAMTAMBUA DIAMOND PLATNUMZ

Baada ya twitter ku-verify account ya Diamond Platnumz, facebook nao wafanya hivyo
 
Kwa sasa account ya Diamond Platmunz kupitia facebook imekuwa verified nakuwa account yake halali. ukitaka kujua kama kumpata Platnumz kwa account zake halali basi angalia ile yenye alama ya tiki yenye rangi ya blue

No comments:

Post a Comment