
The V.O.A, Sunday Mjeda a.k.a Linex leo hii ameachia wimbo mpya "Honga
Honga" unaozungumzia wanaume wanaoteka akilii za madem au wake za
wenzao.
Sio kama tulivyomzoea katika beat za producer Fundi Samweli, safari hii
Linex amefanya kazi na mshkaji wake wa karibu ambae yeye amemuelezea
kama msela na wala sio brazamen, kama wengine wanavyomdhania "Bob Jr"
No comments:
Post a Comment