Friday, May 23, 2014

NEW SONG/ RICHARD - UPO MWENYEWE (COMING SOON

Unaikumbuka basi imba???  ni moja ya ngoma iliyofanya poa sana hapa na nje ya Tanzania. msanii anaitwa Richard alimshirikisha Tunda woye toka Tip Top Connection. Huu sasa ni ujio wake mwingine. 
Artist- Richard

Song - Upo mwenyewe

Producer Sheddy Clever. 

 Ni jumaa tatu ya 26 may 2014, kitaa kitanuka mbaya. kaa tayari

No comments:

Post a Comment