Lile shirika la wambea Duniani SHILAWADU ambalo siku hadi siku linazidi kupanda chati kutokana na style yao ya kutoboa habari zilizojificha za Mastar wa Bongo, Leo hii wametuletea hili linalomuhusisha Dimond Platnumz kumpoza Video Queen Tumnda mpaka kupigwa kibuti na Kibosile wake. Shlawadu shilawaduu tunawaona tu mnavyokula Ubuyuuu. Hii hapa chini story ilivyokuwa
UBALOZINI
TOA MAONI YAKO
Wednesday, November 16, 2016
Urusi yajiondoa katika harakati za kujiunga na ICC
Vladmir Putin
Urusi inajiondoa katika harakati za kujiunga na mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC
Wizara ya maswala ya kigeni imesema kuwa mahakama hiyo imeshindwa kutimiza mahitaji na haijawahi kuwa huru.Imesema kuwa haifurahii uchunguzi wa ICC unaondelea kuhusu vita vya muda mfupi kati ya Urusi na Georgia miaka minane iliopita,ikisema kuwa mahakama hiyo ilipuuza uchokozi wa Georgia .
Wiki hii mahakama hiyo imetaja matukio ya mwaka 2014 katika eneo la Crimea kama vita kati ya Urusi na Ukraine,hatua inayomaanisha kuwa eneo hilo sasa litasimamiwa na mahakama ya ICC.
Donald Trump Azikataa Dola 400,000 za Mshahara wa Rais..Adai Atajilipa Dola 1 Kwa Mwaka

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema hataki kulipwa mshahara wa rais wa $400,000 atakapochukua hatamu Januari mwakani. Badala yake atakuwa akilipwa dola moja ya Marekani ($1) pekee kila mwaka sawa na shilingi 2000 ya kitanzania.
Alifichua mpango wake huo wakati wa mahojiano na Lesley Stahl kipindi cha 60 Minutes cha CBS News.
Ingawa hakujua rais huwa analipwa pesa ngapi, Bw Trump alisema alidhani anahitaji kuchukua tu $1.
Baada ya Bi Stahl kumjulisha kwamba mshahara wa rais ni $400,000, alisema: "Hapana, sitaupokea mshahara huo. Sizichukui kamwe."
Rais huyo mteule anatimiza ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni.
Aliambia waliohudhura mkutano wake Septemba kwamba mshahara wa rais si jambo kubwa kwake.
Breaking News: kiwanda cha Zed chafungwa
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Kigwangalla, ameendelea na usimamizi wa Operesheni Maalum ya
kufuatilia na kuufumua mtandao wa Viroba na Pombe feki na haramu nchini
ambapo leo Novemba 16.2016 ameweza kukifungia kiwanda cha Afro American
kinachozalisha pombe aina ya ZED.
Katika
tukio hilo, Dk. Kigwangalla ambaye pia aliongozana na timu ya wataalam
mbalimbali na maafisa usalama amelazimika kukifunga kiwanda hicho cha
Afro American kinachozalisha viroba aina ya Zed, Dollars na vinginevyo
ambavyo vimekutwa havina vibali vya TFDA na havina usajili wa TFDA,
havina Batch Number ya kutambua uhalali wa uzalishaji wak.
Pia
pombe hizo pia zilibainika kutokuwa na tarehe ya kuzalishwa na wala ya
ku-expire hali ambayo ni vigumu kutambua ubora wake na idadi yake
halisi kwa maksudi ya kulipa kodi ya serikali.
Hata
hivyo, wenye kiwanda walibainika kutokuwa utunzaji wa kumbukumbu wala
rekodi za uzalishaji huku wakikili kuwa mitambo yao haina uwezo wa
kuweka batch number.
Tukio
hilo ni la mwendelezo maalum kufuatia zoezi la jana Novemba 15.2016 Dk.
Kigwangalla kuendesha operesheni hiyo maalum na kubaini uwepo wa bidhaa
hizo sokoni na hivyo kuagiza wataalamu wafuatilie ili kubaini viwanda
zaidi vinavyotengeza pombehizo ikiwemo zile feki na wale wanaokiuka
taratibu kwani bidhaa hizo baadhi yake zimekuwa zikisababisha matatizo
makubwa kwa afya za binadamu.
Tuesday, November 15, 2016
Mwezi mkubwa na muonekano wa karibu zaidi kuonekana leo

Mwezi mkubwa na muonekano wa karibu zaidi
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na shirika la masuala ya anga ya Marekani,NASA ni kuwa tukio hilo si la kihistoria la mwaka 2016 pekee bali pia ni historia kuu ya karne ya 21.
Aidha pia wanasayansi wanadai kuwa muonekano huo wa karibu wa mwezi uliwahi kutokea miaka 70 iliyopita.
Vilevile muonekano huo wa karibu hautaonekana tena hadi mwezi Novemba 24 mwaka 2034.
Baada ya miaka 68 kwa mara ya kwanza utaonekana kwa ukubwa wa asilimia 14 zaidi huku mwanga ukiongezeka kwa asilimia 30 zaidi.

Usiku wa leo kunatarajiwa kuonekana mwezi mkubwa unaotambulika na wanasayansi kama 'Super Moon'.
Mwezi huo pia utakuwa na mwonekano wa karibu zaidi kutoka angani .

Saturday, January 16, 2016
Sunday, November 22, 2015
Zitto Kabwe "simtambui Shein kama Rais wa Zanzibar"

"Simtambui Dkt. Shein kama Rais wa Zanzibar
Nataka tu kuweka rekodi sawa. Nilimpinga Dkt. Ali Mohamed Shein hadharani na jana bungeni. Alipoingia Shein bungeni sikusimama kama inavyotakiwa. Nilikaa chini kupinga uhalali wake.
Alipoingia Rais John Magufuli nilisimama na kumpa heshima yake kama Rais na kukaa kumsikiliza. Kuendelea kuzomea wakati Rais halali kaingia Bungeni kuzindua Bunge ili wabunge waanze kazi ni kutokuwa na mikakati sahihi. Ilitosha kumzomea Shein na kukaa chini bila kusimama alipoingia kama tulivyofanya. Wenzangu hawakujua pa kuishia.
Magufuli anapambana na rushwa. Mimi napambana na rushwa. Namwunga mkono katika vita dhidi ya rushwa.
Anayempinga Magufuli kwa vyovyote vile anatetea wala rushwa na mafisadi. Anayempinga Magufuli ni yule anayeogopa viwanda na mashamba yaliyobinafsishwa kurudishwa Kwa umma" nini maoni yako kuhusiana na taarifa hii kutoka kwa kiongozi wa chama cha ACT Zitto Kabwe?????
Subscribe to:
Comments (Atom)